Methali 8:16 - Swahili Revised Union Version Kwa msaada wangu wakuu hutawala, Na waungwana, naam, waamuzi wote wa dunia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Biblia Habari Njema - BHND Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa msaada wangu viongozi hutawala, wakuu na watawala halali. Neno: Bibilia Takatifu kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. Neno: Maandiko Matakatifu kwa msaada wangu wakuu hutawala, na wenye vyeo wote watawalao dunia. BIBLIA KISWAHILI Kwa msaada wangu wakuu hutawala, Na waungwana, naam, waamuzi wote wa dunia. |
Naye ameyathibitisha maneno yake, aliyoyanena juu yetu, na juu ya waamuzi wetu waliotuamua, kwa kumletea mambo maovu makuu; maana chini ya mbingu zote halikutendeka jambo kama hili, lilivyotendeka juu ya Yerusalemu.