Methali 7:11 - Swahili Revised Union Version Ana kelele, na ukaidi; Miguu yake haikai nyumbani mwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alikuwa mwanamke wa makelele na mkaidi; miguu yake haitulii nyumbani: Biblia Habari Njema - BHND Alikuwa mwanamke wa makelele na mkaidi; miguu yake haitulii nyumbani: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alikuwa mwanamke wa makelele na mkaidi; miguu yake haitulii nyumbani: Neno: Bibilia Takatifu (Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, miguu yake haitulii nyumbani; Neno: Maandiko Matakatifu (Ni mwanamke mwenye makelele na mkaidi, miguu yake haitulii nyumbani; BIBLIA KISWAHILI Ana kelele, na ukaidi; Miguu yake haikai nyumbani mwake. |
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.
na kuwa wenye kiasi, kuwa safi, kufanya kazi nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao wenyewe; ili neno la Mungu lisitukanwe.