BWANA ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Methali 6:5 - Swahili Revised Union Version Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji. Biblia Habari Njema - BHND Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji. Neno: Bibilia Takatifu Jiweke huru, kama paa kutoka mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka mtego wa mwindaji. Neno: Maandiko Matakatifu Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji. BIBLIA KISWAHILI Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego. |
BWANA ndiye niliyemkimbilia. Mbona mnaiambia nafsi yangu, Kimbia kama ndege mlimani kwenu?
Nafsi yetu imeokoka kama ndege Katika mtego wa wawindaji, Mtego umevunjika, nasi tumeokoka.
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.