Methali 1:17 - Swahili Revised Union Version17 Kwa kuwa mtego hutegwa bure, Mbele ya macho ya ndege yeyote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Mtego utegwao huku ndege anaona, mtego huo wategwa bure. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Mtego utegwao huku ndege anaona, mtego huo wategwa bure. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Mtego utegwao huku ndege anaona, mtego huo wategwa bure. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Kwa kuwa mtego hutegwa bure, Mbele ya macho ya ndege yeyote. Tazama sura |