Methali 5:7 - Swahili Revised Union Version Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Biblia Habari Njema - BHND Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sasa enyi wanangu, nisikilizeni, wala msisahau maneno ya kinywa changu. Neno: Bibilia Takatifu Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. Neno: Maandiko Matakatifu Sasa basi wanangu, nisikilizeni; msiache ninalowaambia. BIBLIA KISWAHILI Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, Wala msiache maneno ya kinywa changu. |
Angalieni msimkatae yeye anenaye. Maana ikiwa hawakuokoka wale waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya nchi, zaidi sana hatutaokoka sisi tukijiepusha na yeye atuonyaye kutoka mbinguni;