Methali 31:1 - Swahili Revised Union Version Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maneno ya mfalme Lemueli. Mawaidha aliyofundishwa na mama yake: Biblia Habari Njema - BHND Maneno ya mfalme Lemueli. Mawaidha aliyofundishwa na mama yake: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maneno ya mfalme Lemueli. Mawaidha aliyofundishwa na mama yake: Neno: Bibilia Takatifu Misemo ya Mfalme Lemueli, usia wa mama yake aliyomfundisha: Neno: Maandiko Matakatifu Misemo ya Mfalme Lemueli, usia wa mama yake aliyomfundisha: BIBLIA KISWAHILI Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake. |
Maneno ya Aguri mwana wa Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika kuchochea hasira hutokeza ugomvi.
Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
nikiikumbuka imani uliyo nayo isiyo na unafiki, ambayo ilikaa kwanza katika nyanya yako Loisi, na katika mama yako Eunike, nami nasadiki wewe nawe unayo.
na ya kuwa tangu utotoni umeyajua Maandiko Matakatifu, ambayo yaweza kukuhekimisha hata upate wokovu kwa imani iliyo katika Kristo Yesu.