Methali 30:1 - Swahili Revised Union Version1 Maneno ya Aguri mwana wa Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Misemo ya Aguri mwana wa Yake; usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na Ukali: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na kwa Ukali: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Maneno ya Aguri mwana wa Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali. Tazama sura |