Methali 3:26 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni. Biblia Habari Njema - BHND Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni. Neno: Bibilia Takatifu kwa kuwa Mwenyezi Mungu atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. Neno: Maandiko Matakatifu kwa kuwa bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe. |
Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake; Bali waovu watanyamazishwa gizani, Maana kwa nguvu hakuna atakayeshinda;