Methali 3:26 - Swahili Revised Union Version26 Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 kwa kuwa Mwenyezi Mungu atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 kwa kuwa bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe. Tazama sura |