Methali 27:7 - Swahili Revised Union Version Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu. Biblia Habari Njema - BHND Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu. Neno: Bibilia Takatifu Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu. Neno: Maandiko Matakatifu Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu. BIBLIA KISWAHILI Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu. |
Kama ndege aendaye huku na huko mbali na kitundu chake; Ndivyo alivyo mtu aendaye huku na huko mbali na mahali pake.
Watu wakamnung'unikia Mungu, na Musa, Mbona mmetupandisha huku kutoka nchi ya Misri, ili tufe jangwani? Maana hapana chakula, wala hapana maji, na roho zetu zinakinai chakula hiki dhaifu.
Yupo hapa mtoto, ana mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa?