Methali 26:15 - Swahili Revised Union Version Mtu mvivu hutia mkono wake katika sahani; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Biblia Habari Njema - BHND Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mvivu huutia mkono wake katika sahani ya chakula, lakini hawezi kuuinua hadi mdomoni. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani, naye huchoka kuupeleka kwenye kinywa chake. BIBLIA KISWAHILI Mtu mvivu hutia mkono wake katika sahani; Kwamchosha kuupeleka tena kinywani pake. |