Methali 25:4 - Swahili Revised Union Version Ondoa takataka katika fedha, Na chombo kitatokea kwa mtakasaji; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Toa takataka katika fedha, na mhunzi atakutengenezea chombo kizuri. Biblia Habari Njema - BHND Toa takataka katika fedha, na mhunzi atakutengenezea chombo kizuri. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Toa takataka katika fedha, na mhunzi atakutengenezea chombo kizuri. Neno: Bibilia Takatifu Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, na ndani yake kutatokea chombo cha mfua fedha. Neno: Maandiko Matakatifu Ondoa takataka kwenye madini ya fedha, nako ndani yake kutatokea chombo cha mfua fedha. BIBLIA KISWAHILI Ondoa takataka katika fedha, Na chombo kitatokea kwa mtakasaji; |
Midomo ijipendekezayo pamoja na moyo mbaya Ni kama kigae kilichofunikizwa taka za fedha.
Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa taka za fedha kwangu; wote wamekuwa shaba, na bati, na chuma, na risasi, katika tanuri; wamekuwa taka za fedha.
ili kwamba kujaribiwa kwa imani yenu, ambayo ina thamani kuu kuliko dhahabu ipoteayo, ijapokuwa hiyo hujaribiwa kwa moto, kuonekane kuwa kwenye sifa na utukufu na heshima, katika kufunuliwa kwake Yesu Kristo.