Methali 25:3 - Swahili Revised Union Version3 Mbingu huenda juu sana, na nchi huenda chini; Lakini mioyo ya wafalme haichunguziki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kama zilivyo mbali mbingu na kirefu kina cha ardhi ndivyo zisivyochunguzika akili za mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kama zilivyo mbali mbingu na kirefu kina cha ardhi ndivyo zisivyochunguzika akili za mfalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kama zilivyo mbali mbingu na kirefu kina cha ardhi ndivyo zisivyochunguzika akili za mfalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini, ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Kama mbingu zilivyo juu na nchi ilivyo chini, ndivyo ambavyo mioyo ya wafalme haichunguziki. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Mbingu huenda juu sana, na nchi huenda chini; Lakini mioyo ya wafalme haichunguziki. Tazama sura |