Methali 24:29 - Swahili Revised Union Version Usiseme, Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; Nitamlipa mtu huyo sawasawa na tendo lake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda! Ni lazima nilipize kisasi!” Biblia Habari Njema - BHND Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda! Ni lazima nilipize kisasi!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda! Ni lazima nilipize kisasi!” Neno: Bibilia Takatifu Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” Neno: Maandiko Matakatifu Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” BIBLIA KISWAHILI Usiseme, Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; Nitamlipa mtu huyo sawasawa na tendo lake. |
Angalieni mtu awaye yote asimlipe mwenziwe mabaya kwa mabaya; bali siku zote lifuateni lililo jema, ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.
Ndipo watu elfu tatu wa Yuda wakateremka hadi katika ule ufa wa jabali la Etamu, wakamwambia Samsoni, Je! Hujui ya kuwa Wafilisti wanatutawala? Ni nini hii, basi, uliyotutenda? Akawaambia, Kadiri ile walivyonitenda mimi, ndivyo nilivyowatenda wao.