Methali 24:29 - Swahili Revised Union Version29 Usiseme, Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; Nitamlipa mtu huyo sawasawa na tendo lake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda! Ni lazima nilipize kisasi!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda! Ni lazima nilipize kisasi!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda! Ni lazima nilipize kisasi!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Usiseme, “Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; nitamlipiza mtu yule kwa kile alichonitendea.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Usiseme, Nitamtenda kama alivyonitenda mimi; Nitamlipa mtu huyo sawasawa na tendo lake. Tazama sura |