Methali 23:8 - Swahili Revised Union Version Tonge lile ulilokula utalitapika, Na maneno yako matamu yatakupotea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. Biblia Habari Njema - BHND Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Utatapika vipande ulivyokula; shukrani zako zote zitakuwa za bure. Neno: Bibilia Takatifu Utatapika kile kidogo ulichokula, nawe utakuwa umepoteza bure maneno yako ya kumsifu. Neno: Maandiko Matakatifu Utatapika kile kidogo ulichokula, nawe utakuwa umepoteza bure maneno yako ya kumsifu. BIBLIA KISWAHILI Tonge lile ulilokula utalitapika, Na maneno yako matamu yatakupotea. |
Kwa maana hata ndugu zako, na nyumba ya baba yako, wamekutenda mambo ya hila; naam, wamepiga kelele nyuma yako; usiwasadiki, wajapokuambia maneno mazuri.