Akaenda, akawatwaa, akamletea mamaye. Mamaye akafanya chakula kitamu namna ile aliyopenda babaye.
Methali 23:2 - Swahili Revised Union Version Tena ujitie kisu kooni, Kama ukiwa mlafi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zuia sana hamu yako, ikiwa wewe wapenda sana kula. Biblia Habari Njema - BHND Zuia sana hamu yako, ikiwa wewe wapenda sana kula. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zuia sana hamu yako, ikiwa wewe wapenda sana kula. Neno: Bibilia Takatifu na utie kisu kooni mwako kama ukiwa mlafi. Neno: Maandiko Matakatifu na utie kisu kooni mwako kama ukiwa mlafi. BIBLIA KISWAHILI Tena ujitie kisu kooni, Kama ukiwa mlafi. |
Akaenda, akawatwaa, akamletea mamaye. Mamaye akafanya chakula kitamu namna ile aliyopenda babaye.
bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiria wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.
mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo, utukufu wao uko katika fedheha yao, waniao mambo ya duniani.