Methali 23:3 - Swahili Revised Union Version3 Usivitamani vyakula vyake vya anasa; Kwa maana ni vyakula vya hila. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Usitamani vyakula vyake vizuri, maana vyaweza kukudanganya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Usitamani vyakula vyake vizuri, maana vyaweza kukudanganya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Usitamani vyakula vyake vizuri, maana vyaweza kukudanganya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Usitamani vyakula vyake vitamu kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Usitamani vyakula vyake vitamu kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Usivitamani vyakula vyake vya anasa; Kwa maana ni vyakula vya hila. Tazama sura |