Methali 23:1 - Swahili Revised Union Version1 Utakapoketi kwa chakula pamoja na mtawala, Mwangalie sana yeye aliye mbele yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ukiketi kula pamoja na mtawala, usisahau hata kidogo uko pamoja na nani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ukiketi kula pamoja na mtawala, usisahau hata kidogo uko pamoja na nani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ukiketi kula pamoja na mtawala, usisahau hata kidogo uko pamoja na nani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Uketipo kula chakula na mtawala, angalia vyema kile kilicho mbele yako, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Uketipo kula chakula na mtawala, angalia vyema kile kilicho mbele yako, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Utakapoketi kwa chakula pamoja na mtawala, Mwangalie sana yeye aliye mbele yako. Tazama sura |