Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha BWANA; na aliyemdai amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.
Methali 22:27 - Swahili Revised Union Version Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolee kitanda chako chini yako? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa! Biblia Habari Njema - BHND Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ikiwa huna chochote cha kulipa, hata kitanda unacholalia kitachukuliwa! Neno: Bibilia Takatifu ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia. Neno: Maandiko Matakatifu Kama ukikosa njia ya kulipa, kitanda chako kitachukuliwa ukiwa umekilalia. BIBLIA KISWAHILI Kama huna kitu cha kulipa; Kwani ukaondolewe kitanda chako chini yako? |