Methali 22:25 - Swahili Revised Union Version Usije ukajifunza njia zake; Na kujipatia nafsi yako mtego. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema usije ukajifunza mwenendo wake, ukajinasa kabisa katika mtego. Biblia Habari Njema - BHND usije ukajifunza mwenendo wake, ukajinasa kabisa katika mtego. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza usije ukajifunza mwenendo wake, ukajinasa kabisa katika mtego. Neno: Bibilia Takatifu la sivyo utajifunza njia zake na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. Neno: Maandiko Matakatifu la sivyo utajifunza njia zake na kujiingiza mwenyewe kwenye mtego. BIBLIA KISWAHILI Usije ukajifunza njia zake; Na kujipatia nafsi yako mtego. |
Sanamu za kuchonga za miungu yao mtaziteketeza kwa moto; usitamani fedha wala dhahabu iliyo juu yao, wala usiitwae iwe yako usije ukanaswa nayo; kwa maana ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako;