Methali 20:29 - Swahili Revised Union Version Fahari ya vijana ni nguvu zao, Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Fahari ya vijana ni nguvu zao, uzuri wa vikongwe ni mvi za uzee. Biblia Habari Njema - BHND Fahari ya vijana ni nguvu zao, uzuri wa vikongwe ni mvi za uzee. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Fahari ya vijana ni nguvu zao, uzuri wa vikongwe ni mvi za uzee. Neno: Bibilia Takatifu Utukufu wa vijana ni nguvu zao, mvi ni fahari ya uzee. Neno: Maandiko Matakatifu Utukufu wa vijana ni nguvu zao, mvi ni fahari ya uzee. BIBLIA KISWAHILI Fahari ya vijana ni nguvu zao, Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi. |
Mwondokeeni mtu mwenye mvi; heshimuni uso wa mtu mzee; nawe mche Mungu wako, Mimi ndimi BWANA.
Nimewaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mmemjua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mna nguvu, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, nanyi mmemshinda yule mwovu.