Methali 20:29 - Swahili Revised Union Version29 Fahari ya vijana ni nguvu zao, Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Fahari ya vijana ni nguvu zao, uzuri wa vikongwe ni mvi za uzee. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Fahari ya vijana ni nguvu zao, uzuri wa vikongwe ni mvi za uzee. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Fahari ya vijana ni nguvu zao, uzuri wa vikongwe ni mvi za uzee. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Utukufu wa vijana ni nguvu zao, mvi ni fahari ya uzee. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Utukufu wa vijana ni nguvu zao, mvi ni fahari ya uzee. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Fahari ya vijana ni nguvu zao, Na uzuri wa wazee ni kichwa chenye mvi. Tazama sura |