akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Mathayo 9:1 - Swahili Revised Union Version Akapanda katika mashua, akavuka, akafika mjini kwao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Neno: Bibilia Takatifu Isa akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. BIBLIA KISWAHILI Akapanda katika mashua, akavuka, akafika mjini kwao. |
akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
Hata Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ng'ambo katika ile mashua, wakamkusanyikia mkutano mkuu; naye alikuwa kando ya bahari.
Na jamii ya watu wa nchi ya Wagerasi iliyo karibu walimwomba aondoke kwao, kwa kuwa walishikwa na hofu kubwa; basi akapanda katika mashua, akarudi.
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.