Mathayo 8:23 - Swahili Revised Union Version23 Akapanda katika mashua, wanafunzi wake wakamfuata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Akapanda katika mashua, wanafunzi wake wakamfuata. Tazama sura |