Mathayo 9:1 - Swahili Revised Union Version1 Akapanda katika mashua, akavuka, akafika mjini kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Akapanda katika mashua, akavuka, akafika mjini kwao. Tazama sura |