Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 5:21 - Swahili Revised Union Version

21 Hata Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ng'ambo katika ile mashua, wakamkusanyikia mkutano mkuu; naye alikuwa kando ya bahari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. Umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Isa alipokwisha kuvuka tena na kufika ng’ambo, umati mkubwa wa watu wakamzunguka hapo kando ya bahari.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Isa alipokwisha kuvuka tena na kufika ng’ambo, umati mkubwa wa watu ukamzunguka yeye akiwa hapo kando ya bahari.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Hata Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ng'ambo katika ile mashua, wakamkusanyikia mkutano mkuu; naye alikuwa kando ya bahari.

Tazama sura Nakili

Marko 5:21
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akapanda katika mashua, akavuka, akafika mjini kwao.

Akaanza kufundisha tena kando ya ziwa. Kundi kubwa sana la watu wakamkusanyikia, hata yeye akapanda katika mashua, akakaa ziwani, watu wote walikuwa katika nchi kavu kando ya ziwa.

Wakauacha mkutano, wakamchukua vile vile alivyokuwa katika mashua. Na mashua zingine zilikuwako pamoja naye.

Na alipokwisha kushuka katika mashua, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu;

Basi Yesu aliporudi mkutano ulimkaribisha kwa furaha, maana wote walikuwa wakimngojea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo