Kukawa na msukosuko mkuu baharini, hata mashua ikafunikwa na mawimbi; naye alikuwa amelala usingizi.
Mathayo 8:23 - Swahili Revised Union Version Akapanda katika mashua, wanafunzi wake wakamfuata. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye. Neno: Bibilia Takatifu Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata. Neno: Maandiko Matakatifu Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata. BIBLIA KISWAHILI Akapanda katika mashua, wanafunzi wake wakamfuata. |
Kukawa na msukosuko mkuu baharini, hata mashua ikafunikwa na mawimbi; naye alikuwa amelala usingizi.
Ndipo alipojibu, akawaambia, Nendeni mkamweleze Yohana hayo mliyoyaona na kuyasikia; vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, maskini wanahubiriwa Habari Njema.