Sala yake pia, na jinsi Mungu alivyomtakabali, na dhambi yake yote, na kosa lake, na mahali alipopajenga mahali pa juu, na kupasimamishia Maashera na sanamu za kuchonga, kabla ya kujinyenyekeza; tazama, hayo yameandikwa katika Kumbukumbu ya Hozai.
Mathayo 7:8 - Swahili Revised Union Version kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye atafunguliwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Biblia Habari Njema - BHND Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango. BIBLIA KISWAHILI kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye hufunguliwa. |
Sala yake pia, na jinsi Mungu alivyomtakabali, na dhambi yake yote, na kosa lake, na mahali alipopajenga mahali pa juu, na kupasimamishia Maashera na sanamu za kuchonga, kabla ya kujinyenyekeza; tazama, hayo yameandikwa katika Kumbukumbu ya Hozai.
Mimi ndimi BWANA, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Naam, ningewalisha kwa ngano iliyo bora zaidi, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
Bwana akamwambia, Simama, nenda zako katika njia iitwayo Nyofu, ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu aitwaye Sauli, wa Tarso; maana, angalia, anaomba;