Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 7:8 - Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 kwa maana kila aombaye hupokea; naye atafutaye huona; naye abishaye hufunguliwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA

8 Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 7:8
13 Marejeleo ya Msalaba  

Maombi yake, pamoja na jinsi Mungu alivyoguswa na kusihi kwake, pia dhambi zake zote na kukosa kwake uaminifu pamoja na sehemu alizojenga mahali pa juu pa kuabudia miungu, kule kusimamisha nguzo za Ashera na sanamu kabla ya kujinyenyekeza kwake, yote yameandikwa katika kumbukumbu za waonaji.

Jifurahishe katika bwana naye atakupa haja za moyo wako.

Mimi ni bwana Mungu wako, niliyekutoa nchi ya Misri. Panua sana kinywa chako nami nitakijaza.

Bali ninyi mngalilishwa ngano iliyo bora, na kuwatosheleza kwa asali itokayo kwenye mwamba.”

“Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.

“Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe?

Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.

Isa pamoja na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa arusini pia.

Bwana Isa akamwambia, “Ondoka uende katika barabara iitwayo Nyofu ukaulize katika nyumba ya Yuda mtu kutoka Tarso, jina lake Sauli, kwa maana wakati huu anaomba,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo