Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Mathayo 27:61 - Swahili Revised Union Version Na pale walikuwapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi. Biblia Habari Njema - BHND Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi. Neno: Bibilia Takatifu Mariamu Magdalene na yule Mariamu mwingine walikuwa mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi. Neno: Maandiko Matakatifu Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwepo mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi. BIBLIA KISWAHILI Na pale walikuwapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi. |
Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.
Na sabato ilipokwisha, ikipambazuka siku ya kwanza ya juma, Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, walikwenda kulitazama kaburi.