Mathayo 27:61 - Swahili Revised Union Version61 Na pale walikuwapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema61 Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND61 Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza61 Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwa wameketi kulielekea kaburi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu61 Mariamu Magdalene na yule Mariamu mwingine walikuwa mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu61 Maria Magdalene na yule Maria mwingine walikuwepo mahali pale, wakiwa wameketi mkabala na kaburi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI61 Na pale walikuwapo Mariamu Magdalene, na Mariamu yule wa pili, wameketi kulielekea kaburi. Tazama sura |