Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.
Mathayo 27:49 - Swahili Revised Union Version Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.” Biblia Habari Njema - BHND Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wengine wakasema, “Acha tuone kama Elia anakuja kumwokoa.” Neno: Bibilia Takatifu Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.” Neno: Maandiko Matakatifu Wengine wakasema, “Basi mwacheni. Hebu tuone kama Ilya atakuja kumwokoa.” BIBLIA KISWAHILI Wale wengine wakasema, Acha; na tuone kama Eliya anakuja kumwokoa. |
Basi Eliya Mtishbi, wa wageni wa Gileadi, akamwambia Ahabu, Kama BWANA, Mungu wa Israeli, aishivyo, ambaye ninasimama mbele zake, hakutakuwa na umande wala mvua miaka hii, ila kwa neno langu.
Mara mmoja wao akaenda mbio, akatwaa sifongo, akaijaza siki, akaitia juu ya mwanzi, akamnywesha.