Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Mathayo 27:33 - Swahili Revised Union Version Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la Kichwa, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa, Biblia Habari Njema - BHND Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa, Neno: Bibilia Takatifu Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). Neno: Maandiko Matakatifu Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). BIBLIA KISWAHILI Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la Kichwa, |
Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?