Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa BWANA, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Mathayo 26:66 - Swahili Revised Union Version mwaonaje ninyi? Wakajibu, wakasema, Imempasa kuuawa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!” Biblia Habari Njema - BHND Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nyinyi mwaonaje?” Wao wakamjibu, “Anastahili kufa!” Neno: Bibilia Takatifu Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.” Neno: Maandiko Matakatifu Uamuzi wenu ni gani?” Wakajibu, “Anastahili kufa.” BIBLIA KISWAHILI mwaonaje ninyi? Wakajibu, wakasema, Imempasa kuuawa. |
Ndiyo malipo ya washitaki wangu toka kwa BWANA, Na ya hao wanaoisingizia nafsi yangu mabaya.
Ndipo hapo makuhani, na manabii, wakawaambia wakuu na watu wote, wakisema, Mtu huyu anastahili hukumu ya kifo, kwa sababu ametabiri juu ya mji huu, kama mlivyosikia kwa masikio yenu.
Wayahudi wakamjibu, Sisi tunayo sheria, na kwa sheria hiyo amestahili kufa, kwa sababu alijifanya kuwa Mwana wa Mungu.
Ni yupi katika manabii ambaye baba zenu hawakumwudhi? Nao waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki; ambaye ninyi sasa mmekuwa wasaliti wake, mkamwua;