akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.
Mathayo 26:16 - Swahili Revised Union Version Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi apate kumsaliti. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti. Biblia Habari Njema - BHND na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti. Neno: Bibilia Takatifu Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Tangu wakati huo Yuda akawa anatafuta wakati uliofaa wa kumsaliti Isa. BIBLIA KISWAHILI Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi apate kumsaliti. |
akasema, Ni nini mtakachonipa, nami nitamsaliti kwenu? Wakampimia vipande thelathini vya fedha.
Katika siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka?
Nao waliposikia walifurahi, wakaahidi kumpa fedha. Akatafuta njia ya kumsaliti wakati wa kufaa.
Na Paulo alipokuwa akitoa hoja zake kuhusu haki, na kuwa na kiasi, na hukumu itakayokuja, Feliki akaingiwa na hofu na kusema, Sasa nenda zako, nami nikipata nafasi nitakuita.
Lakini kuhusu Apolo, ndugu yetu, nilimsihi sana aje kwenu pamoja na hao ndugu; ambaye si mapenzi yake kwenda sasa; lakini atakuja atakapopata nafasi.