Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 26:17 - Swahili Revised Union Version

17 Katika siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea Yesu wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea Yesu wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea Yesu wakamwuliza, “Unataka tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanafunzi walimjia Isa wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Siku ya kwanza ya Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanafunzi walimjia Isa wakamuuliza, “Unataka twende wapi ili tukuandalie mahali pa kula Pasaka?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Katika siku ya kwanza ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi wake wakamwendea Yesu, wakamwambia, Ni wapi utakapo tukuandalie uile Pasaka?

Tazama sura Nakili

Mathayo 26:17
12 Marejeleo ya Msalaba  

Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.

Tokea wakati huo akawa akitafuta nafasi apate kumsaliti.

Wanafunzi wakafanya kama Yesu alivyowaagiza, wakaiandaa Pasaka.

Yesu akajibu akamwambia, Kubali hivi sasa; kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote. Ndipo akakubali.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo