Mathayo 25:19 - Swahili Revised Union Version Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake. Biblia Habari Njema - BHND “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake. Neno: Bibilia Takatifu “Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao. Neno: Maandiko Matakatifu “Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao. BIBLIA KISWAHILI Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao. |
Kama vile Daudi ainenavyo heri yake mtu yule ambaye Mungu amhesabia kuwa na haki pasipo matendo,
Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo, ili kila mtu apokee malipo ya mambo aliyotenda kwa mwili, kadiri alivyotenda, yawe ni mema au mabaya.