Mathayo 25:19 - Swahili Revised Union Version19 Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana alirudi, akaanza kukagua hesabu ya matumizi na mapato ya fedha yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Baada ya muda mrefu, yule bwana wa wale watumishi akarudi na kufanya hesabu nao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Baada ya siku nyingi akaja bwana wa watumwa wale, akafanya hesabu nao. Tazama sura |