Mathayo 23:21 - Swahili Revised Union Version Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake. Biblia Habari Njema - BHND Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake. Neno: Bibilia Takatifu Naye mtu anayeapa kwa Hekalu, anaapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake. Neno: Maandiko Matakatifu Naye mtu aapaye kwa Hekalu, huapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake. BIBLIA KISWAHILI Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake. |
Lakini Mungu je? Hakika atakaa juu ya nchi? Tazama, mbingu hazikutoshi, wala mbingu za mbingu; sembuse nyumba hii niliyoijenga!
Wala makuhani hawakuweza kuingia nyumbani mwa BWANA, kwa kuwa utukufu wa BWANA umeijaza nyumba ya BWANA.