Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mathayo 23:21 - Swahili Revised Union Version

21 Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Na anayeapa kwa hekalu ameapa kwa hilo hekalu na pia kwa yule akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Naye mtu anayeapa kwa Hekalu, anaapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Naye mtu aapaye kwa Hekalu, huapa kwa hilo Hekalu na kwa huyo akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Naye aapaye kwa hekalu, huapa kwa hilo, na kwa yeye akaaye ndani yake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 23:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hakika nimekujengea nyumba ya kukaa, iwe mahali pa makao yako milele.


Lakini Mungu je? Hakika atakaa juu ya nchi? Tazama, mbingu hazikutoshi, wala mbingu za mbingu; sembuse nyumba hii niliyoijenga!


Lakini nimekujengea nyumba ya kukaa, iwe mahali pa makao yako milele.


Wala makuhani hawakuweza kuingia nyumbani mwa BWANA, kwa kuwa utukufu wa BWANA umeijaza nyumba ya BWANA.


BWANA, nimependa makao ya nyumba yako, Na mahali pa maskani ya utukufu wako.


Basi yeye aapaye kwa madhabahu, huapa kwa hiyo, na kwa vitu vyote vilivyo juu yake.


Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja kuwa maskani ya Mungu katika Roho.


Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo