Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.
Mathayo 21:18 - Swahili Revised Union Version Na asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa. Neno: Bibilia Takatifu Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa. Neno: Maandiko Matakatifu Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa. BIBLIA KISWAHILI Na asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa. |
Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.
Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa kama sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.