Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mathayo 21:18 - Swahili Revised Union Version

18 Na asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Asubuhi na mapema, Isa alipokuwa akirudi mjini, alikuwa na njaa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Na asubuhi alipokuwa akienda mjini, aliona njaa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 21:18
6 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala.

Akafunga siku arubaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa.

akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; na zilipotimia, aliona njaa.

Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa kama sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo