Maneno ya Yeremia, mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani waliokuwa katika Anathothi, katika nchi ya Benyamini;
Mathayo 2:17 - Swahili Revised Union Version Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia: Biblia Habari Njema - BHND Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyosemwa kwa njia ya nabii Yeremia: Neno: Bibilia Takatifu Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, aliposema: Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia. BIBLIA KISWAHILI Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, |
Maneno ya Yeremia, mwana wa Hilkia, mmoja wa makuhani waliokuwa katika Anathothi, katika nchi ya Benyamini;
akakaa huko hadi Herode alipokufa; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nilimwita mwanangu.
Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale majusi, alighadhibika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wa kiume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake kote, kuanzia wenye miaka miwili na chini yake, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale majusi.
Sauti ilisikiwa Rama, Kilio na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, Asikubali kufarijiwa, kwa kuwa hawapo tena.
Ndipo likatimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema, Wakavitwaa vipande thelathini vya fedha, kima chake aliyetiwa kima, ambaye baadhi ya Waisraeli walimtia kima;