Mathayo 18:34 - Swahili Revised Union Version Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote. Biblia Habari Njema - BHND “Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote. Neno: Bibilia Takatifu Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe hadi atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa. BIBLIA KISWAHILI Bwana wake akaghadhibika, akampeleka kwa watesaji, hata atakapoilipa deni ile yote. |
Ndivyo na Baba yangu wa mbinguni atakavyowatenda ninyi, msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake.