Mathayo 18:30 - Swahili Revised Union Version30 Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa gerezani, hadi atakapoilipa ile deni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 “Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 “Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa gerezani, hadi atakapoilipa ile deni. Tazama sura |