mkaseme, Mfalme asema hivi, Mtieni mtu huyu gerezani, mkamlishe kwa chakula cha shida, na maji ya shida, hata nitakaporudi kwa amani.
Mathayo 18:30 - Swahili Revised Union Version Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa gerezani, hadi atakapoilipa ile deni. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni. Biblia Habari Njema - BHND Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni. Neno: Bibilia Takatifu “Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni. Neno: Maandiko Matakatifu “Lakini akakataa. Badala yake, alienda akamtupa gerezani hata atakapolipa hilo deni. BIBLIA KISWAHILI Lakini hakutaka, akaenda, akamtupa gerezani, hadi atakapoilipa ile deni. |
mkaseme, Mfalme asema hivi, Mtieni mtu huyu gerezani, mkamlishe kwa chakula cha shida, na maji ya shida, hata nitakaporudi kwa amani.
Basi mtumwa mwenzake akaanguka miguuni pake, akamsihi, akisema, Nivumilie, nami nitakulipa yote pia.
Basi watumwa wenzake walipoyaona yaliyotendeka, walisikitika sana, wakaenda wakamweleza bwana wao yote yaliyotendeka.