Na sasa, Ee BWANA, Mungu wangu, umenitawaza niwe mfalme mimi mtumwa wako badala ya Daudi baba yangu; nami ni mtoto mdogo tu; sijui jinsi inipasavyo kutoka wala kuingia.
Mathayo 18:2 - Swahili Revised Union Version Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, Neno: Bibilia Takatifu Isa akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. BIBLIA KISWAHILI Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, |
Na sasa, Ee BWANA, Mungu wangu, umenitawaza niwe mfalme mimi mtumwa wako badala ya Daudi baba yangu; nami ni mtoto mdogo tu; sijui jinsi inipasavyo kutoka wala kuingia.
Lakini BWANA akaniambia, Usiseme, Mimi ni mtoto; maana utakwenda kwa kila mtu nitakayekutuma kwake, nawe utasema kila neno nitakalokuamuru.
akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.