Mathayo 18:2 - Swahili Revised Union Version2 Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Isa akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Isa akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, Tazama sura |