Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao,
Mathayo 18:1 - Swahili Revised Union Version Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?” Biblia Habari Njema - BHND Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?” Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo, wanafunzi wakamjia Isa na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika ufalme wa mbinguni?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo, wanafunzi wakamjia Isa na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?” BIBLIA KISWAHILI Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema, |
Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao,
Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Msitende neno lolote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.